Balozi wa Brazil nchini Tanzania Bwana Bwana Antonio Agustors Martin Cesar leo ameshuudia utiaji saini wa Mradi wa kuongeza thamani katika zao la Pamba ujulikanao kama 'Beyond Cotton Project '
Mradi huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi 20 ukitekelezwa na Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI), Bodi ya Pamba (TCB) pamoja na Wizara ya Kilimo.
Utiaji saini huo umefanyika kati ya Brazil (ABC ,UFCG ) Tanzania (TARI &TCB) na WFP(COE Brazil na WFP Tanzania.
0 Comments