Header Ads Widget

WAZIRI MASHIMBA AONYA UVUVI HARAMU MWANZA

 


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka wavuvi mkoani Mwanza kuachana na uvuvi haramu badala yake wafanye uvuvi endelevu utakaosaidia kutunza rasilimali zilizoko ndani ya ziwa hilo kwa matumizi ya sasa na baadae.


Ndaki ametoa wito huo leo Mei 16,2022 alipokuwa akizungumza na wadau wa uvuvi mkoani hapa katika kikao chenye lengo la kujadili madhara yanayosababishwa na uvuvi haramu ndani ya ziwa hilo


Aidha Waziri Ndaki amsema Serikali inafikiria kutunga sheria kali ili kudhibiti vitendo vya uvuvi haramu vinavyendelea katika nchini.



Huku akisema uvuvi haramu unaendelea kukithiri katika mito, ziwa na bahari.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI