Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamzi wa Mazingira (NEMC) wakiwa kwenye Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022. Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamzi wa Mazingira (NEMC) wakipata picha ya pamoja kwenye ofisi yao wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamzi wa Mazingira (NEMC) wakiwa kwenye Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022.Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamzi wa Mazingira (NEMC) wakipata picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamzi wa Mazingira (NEMC) wakifurahi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamzi wa Mazingira (NEMC) wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2022 yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment
0
Comments
MAGAZETI
NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI
TV News
World News
UZA NUNUA NASI LEO
Subscribe Us
MATANGAZO
TIBA YA UKANDAJI WA MGONGO, KICHWA KUTOKA NEEMA BEAUTY, SPA SALOON
0 Comments