James Sakala alikuwa mtumishi wa kuhani wa dini nchini Zambia mwezi August 2021 alichimba kaburi kisha kuwataka waumini wake wamzike akiwa hai ili siku ya tatu washuhudie akifufuka kama Yesu Kristo na baada ya kuzikwa siku ya tatu waumini wake walikuta amekufa kweli hakufufuka
0 Comments