Header Ads Widget

NAIBU WAZIRI MARYPRISCA ASHIRIKI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI BONDE LA MTO ZAMBEZI

 



Na Matukio daima media ,Mbeya


NAIBU  Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi(Mb) ameshiriki mkutano wa tisa Baraza la Mawaziri Bonde la mto Zambezi(ZAMCOM) mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao.



Aidha katika mkutano huo Mtanzania Felix Ngalamgosi ambaye ni mtaalamu na mbobezi wa masuala ya uchumi ametambulishwa rasmi kuziba nafasi ya Michael Mutale aliyefariki mwezi juni,2021.



Mwisho.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS