Mwenyekiti wa chama Cha Waendesha Baiskel Iringa Hassan Ramadhan a.k.a Hassan Tizo Afariki dunia Jioni ya leo mjini Iringa .
Hassan pia alikuwa ni meneja wa Clock Tower Hotel Iringa na alipanga Mwezi huu wa nne kuratibu onesho kubwa la Baiskeli ila ndoto yake haijatimia .
0 Comments