Rais Museve alisema Spika huyo alikuwa kada mzuri na amechelewa kutoa taarifa Kwa familia yake kwanza .
Kilichosababisha kifo chake Spika huyo bado kubainishwa ila alikuwa amelazwa Katika Hospitali nchini Marekani na alizua mjadala mzito Kwa wananchi Kwa kuwa alikuwa amegharimi pesa nyingi za walipa Kodi kumtibu .
Oulanyah alichaguliwa kuwa Spika mwaka 2021 mei na kabla ya hapo alikuwa Naibu Spika





0 Comments