Wasafiri wa mikoa ya nyanda za juu kusini na wale wanaoelekea Mkoani Morogoro na Dar es salaam wamekwama toka majira ya Saa 6 mchana Hadi usiku huu Saa 3 Katika mlima Kitonga mkoani Iringa kufuatia ajali ya Lori na Hiace ya wafanyakazi wa Azam media waliokuwa wakielekea Mbeya kurusha mechi za NBC
0 Comments