Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Dkt. Baghayo Sagware ambaye amemteua kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), Dr. Adam Fimbo KUKA…
0 Comments