Header Ads Widget

CCM KUMEKUCHA CHAGUZI MWAKA HUU

 Ratiba ya Mikutano mikuu ya uchaguzi wa Chama na Jumuiya zake Mwaka 2022.*


*1.Mashina March 5-7 mikutano mikuu*


*2. Jumuiya Uvccm,wazazi na Uwt March 14-16 Mikutano mikuu ya uchaguzi*


*3.April 13 Mikutano mikuu ya ya uchaguzi wa CCM Tawi*


*4.April 19-21 mikutano mikuu ya Jumuiya Ngazi ya kata Uvccm,wazazi na Uwt


*5.April 27-28 mikutano mikuu ya uchaguzi ya CCM Kata*


*6.July 3-7 mikutano mikuu ya uchaguzi wa Jumuiya  Uvccm,wazazi na Uwt wilaya*


*7.July 17-23 Mkutano mkuu wa CCM wilaya*


*8.Agost 4-6 Mikutano mikuu ya Jumuiya Wazazi vijana na uwt Mkoa*


*9.Agost 10-12 Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa*

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI