Jeshi nchini Burkina Faso limeipundua Serikali ya Nchi hiyo na kumtoa madarakani Rais Roch Kabore,kupitia televishen ya jeshi limetangaza kuchukua madaraka ikiwa ni pamoja na kulivunja bunge,kuisimamisha katiba ya Nchi na kufunga mipaka yaBurkina Faso
0 Comments