Header Ads Widget

MILIONEA MDOGO ZAIDI AKUTWA AMEKUFA

 


Milionea mwenye umri wa miaka 26, Raia wa New Zealand Jake Millar amefariki Duniani akiwa nchini Kenya, Jake amekutwa akiwa amefariki kwenye balcony za nyumba yake Jijini Nairobi, mwili wake umekutwa ukiwa unaning'inia kwenye kamba akiwa mwenyewe, Polisi wanaendelea na uchunguzi  juu ya tukio hilo

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI