Header Ads Widget

KUHUSU WANYAMA KUKWAMA KWENYE TOPE



Pascal Shelutete
Taarifa hiyo ya TANAPA imesambazwa kwa vyombo vya habari saa chache, baada ya video fupi kusambaa kwenye mitandao ya jamii leo Desemba 1, 2021 alfajiri, ikionesha wanyamapori wamenasa katika tope hifadhini hapo.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyosainiwa na Meneja Mawasiliano wa TANAPA, Pascal Shelutete, hali hiyo imetokana na ukame uliosababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali nchini, yakiwemo ya Hifadhi za Taifa.

“Hata hivyo, mvua zilizonyesha jana jioni tarehe 30.11.2021 zimewezesha maji kiasi kujaa katika mabwawa husika na wanyama kurejea katika hali ya kawaida ya matumizi ya mabwawa,” taarifa hiyo imesema

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI