Header Ads Widget

JAMII YAASWA KUTUNZA MAZINGIRA

  


Jamii imetakiwa kutafakari upya kuhusu jinsi ya kuacha kufanya uharibifu wa mazingira na rasilimali za viumbe zinazoweza kupotea kabisa.Mwandishi Elizabeth Ntambala katavi


Kauli hiyo imetolewa  jana na Mgeni Rasmi silesi Mali ambae Nice Mwenyekiti UN Association kubuni mifumo isiyo chafua mazingira na kuelimisha jamii kuhusu kuepuka madhara yatokanayo na uharibifu wa mimea na wanyama pori,lakini pia udogo,maji vyote ni sehemu ya mazingira yanayotuzunguka na tunavitegemea ili kuishi vizuri.


Taasisi ya New Harvest kwa kushirikiana na Buha Fm Radio wameendesha mafunzo kwa Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kigoma,Rukwa,katavi na Tabora ili kuwajengea uwezo wa kuelimisha wananchi juu ya uharibifu unaofanyika kwa sasa.Kwa Upande wao waandishi wa habari wamesema kuwa mazingira yanagusa maisha yetu ya kila siku kuanzia kinako tokea chakula tunachokula hadi  inayotengenezwa nishati tunayo tumia na mpaka kinachotokea kwa uchafu  tunaozalishaPost a Comment

0 CommentsMAGAZETIBBC NEWS