Header Ads Widget

WAKILI AFUNGUA KESI YA KIKATIBA KUPINGA MAWAKILI BINAFSI KUZUIWA KUJITANGAZA


Wakili wa kujitegemea mkoani Iringa Geofrey Mwakasege  kushoto ambae amefungua mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa akiwa mahakamani leo,wakili Mwakasege amefungua kesi ya kikatiba namba 23/2021 kupinga mawakili binafsi kuzuiwa kujitangaza kama wafanyabiashara wengine Kulia ni wakili wake Franklin Chonjo ambae anamsaidia wakili Chance Luoga 
Baadhi ya mawakili wa kujitegemea mkoa wa Iringa wakiwa mahakamani 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS