Katika kushiriki Uzinduzi wa MAADHIMISHO ya Miaka 60 ya Uhuru wa TANGANYIKA na Miaka 59 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Omary T. Mgumba amewaongoza Wakuu wa Wilaya ya za Mkoa huo kwa kushiriki zoezi la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba . Wakuu hao wa Wilaya ni pamoja na Mhe. Anna Gidarya wa Ileje, Mhe. Fakhi Lulandala DC Momba na Mhe. Simon Simalenga Mkuu wa Wilaya ya Songwe
0 Comments