Header Ads Widget

TUMAIN NYAMHOKYA ASHINDA TENA NAFASI YA RAIS SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA

 


Tumaini Nyamhokya Rais wa Shirikisho la Vyama vya  Wafanyakazi Tanzania ametetea nafasi yake baada ya kuwabwaga wagombea wengine toka Vyama shitiki Katika Uchaguzi uliofanyika .

   Katika Uchaguzi huo uliofanyika ktk Ukumbi wa mikutano wa JAKAYA KIKWETE jijini Dodoma,Bwana Nyamhokya aliwaacha mbali washindani wenzie kwa kujizolea kura 280 dhidi ya kura 440 zilizopigwa,Hivyo kutangazwa rasmi kuwa Ndie Rais wa Wafanyakazi Nchini.

  Awali ktk ufunguzi wa mkutano huo wa uchaguzi uliofunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bwana Anthony Mtaka kwa niaba ya Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania Sania Suluhu




Matokeo ya Uchaguzi TUCTA 2021

1:Rais

Tumain NYAMHOKYA(TALGWU)


2:Makamu Rais

Shaban Ambindwile Mwabungulu (CWT)


3:Katibu Mkuu

Henry Mkunda (TUGHE)

4:Naibu Katibu Mkuu

Cornel Magembe(CWT)

5:Mweka Hazina

CPA James Kalanje (RAAWU)

6:Wadhamini

Tumain Kalinga (CWT)

Menson Savilantungu(CWT)

.Noel Nchimbi(TUICO)

Neema.A.Mwamwaja (TALGWU)


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI