Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Nchi anaeshuhulikia masuala ya Uhamiaji na Wamisri nje ya nchi, wa Misri Nabila Makram, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Cairo Misri alipokua akiondoka Misri na kurejea Tanzania baada ya kukamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Misri leo tarehe 12 Novemba 2021
0 Comments