Anaitwa Khaled bin Ali bin Abdullah al Humaidan ni mkuu wa shirika la Ujasusi nchini Saudi Arabia la General Intelligence Presidency (GIP).
Historia yake ni ndefu, lakini kitaalumu ni muhihitmu wa shahadi ya uzamili kwenye mambo ya Criminal Justice katika chuo cha Saginaw Valley State University kilichoko Michigan nchini Marekani. Yuko mtu mmoja tu Tanzania ndio ninamfahamu amesoma mambo ya Criminology taalumu inayoaminika ni ngumu sana katika uwanda wa ujasusi.
Kamanda Khaled bin Ali bin Abdullah al Humaidan ameshiriki misheni nyingi hadi kufikia ngazi ya ukuu wa majasusi ndani ya dola la Usaudia, lakini kubwa kabisa atakumbukwa kwa misheni yake iliyotikisa ulimwengu ya mauaji ya mwandishi wa Habari wa Saudi Arabia bwana Jamal Khashoggi yaliyotendeka katika nchi ya Uturuk ndani ya Ubalozi wa Saudia.
Khaled bin Ali bin Abdullah al Humaidan alituma kikosi cha majasusi kumi na tano waliofanya misheni hiyo kwa ustadi mkubwa lakini kosa dogo tu likaharibu misheni yote na kisha utawala wa kifalme wa Saudia ukakaribia kuanguka mbele ya mkono wa kimataifa ukiongozwa na Ururuk.
Kikosi hicho kiliundwa na majasusi wabobevu ambao kila mmoja alikuwa na fani yake, walikuwepo matabibu, wakemia, wahandisi wa mitambo nk.
Kikosi hicho cha Majasusi kiliundwa na Maher Abdalaziz Mutreb, Thaar Ghaleb Al Harbi, Muhammed Saad Al Zaharan, Salah Muhammed A Tubaigy, Meshal Saad M Al Bostani na wengine. Wasifu wa kila mmoja na Namna walivyoingia Uturuki kila mtu akitokea nchi nyingine na namna walivyotekeleza tukio hilo, ni habari za kusisimua sana.
Kwa undani zaidi soma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi....
Pata Kitabu cha Ujasusi kwa ofa ya 25,000 tu badala ya bei halisi 80,000/=
Nunua bila tozo/makato kwa:
LIPA NAMBA TIGO 7489022
LIPA NAMBA VODA 5352627
(YERICKO NYERERE)
CRDB BANK AC No 0152241955000 (YERICKO YOHANESY NYERERE)
(Dar ni free delivery)
Nje ya Dar nauli 8,000/=
Kwamaelezo zaidi piga 0715865544
________________________
Nenda kwenye link hapo kapigie kura kitabu chako pendwa cha Ujasusi kiwe kitabu bora. 👇
https://www.mbvtawards.co.tz/vote





0 Comments