Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeitoza klabu ya Yanga Sc dola 5000 kwa kuruhusu mashabiki kuingia kwenye mchezo wao dhidi ya Rivers United ya Nigeria pamoja na vurugu zilizofanywa na mashabiki kwa maafisa wa Rivers United jijini Dar es salaam
0 Comments