Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekutana na klabu za soka zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ili kujadili na kufanyia kazi kasoro zilizojitokeza katika michezo ya awali.
Aidha, TFF imevitaka vilabu kuheshimu taratibu, kanuni na maelekezo ya CAF
0 Comments