Tajiri wa dunia Elon Musk ameivunja rekodi ya kuwa Mtu wa kwanza Duniani kuvuka utajiri wa $ Bil. 300, ni baada ya utajiri wake kuongezeka kwa $ Bil. 10 baada ya hisa za Tesla kupanda, sasa anamzidi Tajiri namba mbili Jeff Bezos kwa zaidi ya $ Bilioni 100.
0 Comments