Header Ads Widget

SERENGETI KUENDELEA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO

 

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na wananchi wa vijiji vinavyozunguka Hifadhi ya Serengeti katika ziara ya Mawaziri 8 wa Kisekta iliyofanyika  kijiji cha Busarara leo.


Watendaji wa serikali mbalimbali wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (hayupo pichani) wakati akizungumza na wananchi wa vijiji vinavyozunguka Hifadhi ya Serengeti katika ziara ya Mawaziri 8 wa Kisekta iliyofanyika  kijiji cha Busarara leo.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb)(kulia) akifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri 8 ya Kisekta , Mhe. William Lukuvi (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wananchi wa vijiji vinavyozunguka Hifadhi ya Serengeti katika kijiji cha Busarara leo. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira, Mhe. Hamad Chande akifuatiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki (Mb)

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI