Nimefurahishwa na ushindi wa Taifa Stars wa 1-0 dhidi ya Benin. Nawapongeza wachezaji, benchi la ufundi naTFF,kwa jitihada za kushinda pambano la leo. Nawatakia kheri katika michezo iliyobaki ili Tanzania iweze kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Qatar mwakani-Rais Samia Suluhu Hassan





 
 
 
 
 
 
 
 
.jpg) 
0 Comments