Header Ads Widget

RAIS SAMIA AKIAGANA NA WANANCHI WA ARUSHA BAADA YA KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA

 

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na  Wananchi wa Arusha mara baada ya kuhutubia mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo tarehe 17 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI