Header Ads Widget

MATUKIO KATIKA PICHA KUMUOMBEA HAYATI BIBI TITI











Matukio mbalimbali yanayoendelea katika Dua maalum ya kumuombea Hayati Bibi Titi Mohamed Muasisi na mwenyekiti wa kwanza wa UWT na Dua ya kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan inayofanyika Ikwiriri Rufiji mkoani Pwani na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama na serikali akiwemo Mama Salima Kikwete, Mheshimiwa Subira Mgalu iliyoandaliwa na Uongozi wa UWT mkoa wa Pwani (Scolastica Msewa)

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI