Header Ads Widget

JITIHADA ZA SERIKALI ,IGOGA ,LUHUNGA MUFINDI SASA NI LAMI

ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami Kijiji cha Igoda,Luhunga na Sawala wilayani Mufindi mkoa wa Iringa ukiendelea ni lami ya kwanza toka nchi ipate uhuru ,wananchi wapongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwa lami hiyo itasaidia kuongeza thamani ya mazao yao







 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI