SIMBA KAPEWA SH MILIONI 100 KUWA BINGWA 2020
MFUNGAJI BORA KOMBE LA AZAM NI - LUSAJO
MFUNGAJI BORA WANWAKE -AISHA MASAKA
MFUNGAJI BORA KWA LIGI VPL -BOCCO
TIMU YENYE NIDHAMU WWKE NI -RUVUMA QUEEN
TIMU YENYE NIDHAMU VPL -COSTAL UNION (TANGA)
MENEJA BORA WA UWANJA -NELSON MANDELA STADIUM
KOCHA BORA LIGI WANAWAKE -EDNA LEMA (YANGA)
KOCHA BORA MME VPL -GOMES DAROSSA SIMBA
MHAMASISHAJI BORA (MSEMAJI) -BONGOZOZO
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI VPL -ABDUL SULEMAN (COAST UNION)
GOAL KIPA BORA KOMBE LA AZAM -(MANULA SIMBA)
GOAL KIPA BORA VPL (AIR MANULA - SIMBA)
BEKI BORA WA LIGI VPL -MOHAMMED HUSSEIN-SIMBA
KIUNGO BORA WA VPL -CHAMA - SIMBA)
MCHEZAJI WA FAIR PLAY NI -KIBWANA SHOMARI WA YANGA
KIKOSI BORA KWA WANUME VPL
1. Manula Simba
2. Shomary Simba
3. Mohammed Hussein Simba
4. Unyango Simba
5. Dickson Job
6. Mukkoko Yl
7. Chama Simba
8. Fei TOTO Yanga
9. John Bocco Simba
10. PriNce Dube AZAM
11. Luis Miqison Simba.
MCHEZAJI BORA KOMBE LA AZAM -FEISAL SALUM YANGA
TUNZO YA RAISI WA TFF KAPATIWA -WAZIRI MKUU
MCHEZAJI BORA WA VPL MSIMU 2020 -BOCCO SIMBA





0 Comments