Moto mkubwa umewaka katika Jengo la Ghorofa lililopo mtaa Namangila na Likoma katika soko la Kimataifa la Kariakoo lililopo Ilala jijini Dar es salaam na kuteketeza pia maduka eneo hilo.
Mashuhuda wa tukio hilo wamezungumza na Matukio Daima Media kuwa moto huo umethibitiwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambalo limefika kwa wakati eneo la tukio.
Moto huo inaelezwa kuwa umeanza majira ya saa 12 jioni huku chanzo chake kikiwa bado hakijafahamika Jeshi la Zima Moto na Uokoaji limefika eneo la tukio ambapo juhudi za kuhakikisha moto huo unadhibitiwa haraka.
TAZAMA FULL VIDEO BOFYA LINK HII
Na Leonard Johnson Matukio Daima Media, Dar es Salaam
📢KUTANGAZA NA MATUKIO DAIMA MEDIA PIGA SIMU 0754026299






0 Comments