Header Ads Widget

KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT HASSAN ABBASI AKIFUTILIA MJADALA WA MATUMIZI YA AKILI MNEMBA JIJINI RIYADH SAUDI ARABIA


Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi akifuatilia mjadala wa matumizi ya akili mnemba(Artificial Inteligence) katika Sekta ya Utalii kwenye Mkutano wa 26 wa Baraza Kuu la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) leo Novemba 10, 2025, jijini Riyadh, Saudi Arabia.

Mkutano huo umejadili na kukubaliana namna ambavyo AI inaweza kutumika kusaidia kukuza sekta ya utalii duniani.

Mkutano huo unatarajiwa kufungwa hapo kesho Novemba 11, 2025.




 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI