Ndege iliyombeba mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ilikumbwa na hitilafu za mfumo wa kuonesha njia (GPS), katika tukio ambalo linaloshukiwa kufanywa na Urusi, kwa mujibu wa Tume ya Ulaya.
Msemaji wa Tume hiyo alisema "kuvurugwa kwa GPS" kulitokea wakati rais wa Tume alikuwa karibu kuwasili Bulgaria siku ya Jumapili, lakini alitua salama.
Iliongeza: "Tumepokea taarifa kutoka kwa mamlaka ya Bulgaria kwamba wanashuku kuwa hii ilitokana na uingiliaji wa wazi wa Urusi katika mfumo huo."
Gazeti la Financial Times, likiwanukuu maafisa ambao hawakutajwa, liliripoti kwamba von der Leyen alilazimika kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Plovdiv kwa kutumia ramani za karatasi.
Tume ya Ulaya ilisema "vitisho ni vitendo vya kawaida vya uhasama vya Urusi" na kwamba tukio hilo litaimarisha ahadi yake ya "kuimarisha ulinzi wetu na msaada kwa Ukraine".
Serikali ya Bulgaria ilithibitisha kwamba, wakati wa safari ya ndegehiyo, "ishara ya satelaiti inayosambaza mawasiliano kwenye mfumo wa urambazaji wa GPS wa ndege ilivurugwa".
Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov hata hivyo aliiambia Financila Times kwamba taarifa zake "si sahihi".
1 Comments
Ushuhuda
ReplyDeleteNilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.
Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:
✅ Maneno ya mapenzi
✅ Tahadhari za Ujauzito
✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!