Mgombea udiwani kata ya Mkimbizi jimbo la Irimga mjini Eliud Peter Mvella Wamahanji achukua fomu ya tume huru ya uchaguzi kugombea udiwani kata hiyo
Mgombea udiwani Kata ya Mkimbizi kupitia chama cha Mapinduzi(CCM) Eliud Mvella akielekea kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi kuchukua fomu ya kugombea udiwani Kata ya Mkimbizi baada ya kuteuliwa na chama cha Mapinduzi.
0 Comments