Header Ads Widget

UONGOZI WA KAMPUNI YA MOHAMED ENTERPRISES WAKUTANA NA IFCU KWA AJILI YA KUWAFIKIA WAKULIMA ZAIDI IRINGA

Indravhuwan Singh mkurugenzi wa kampuni ya Mohammed Enterprises (kushoto) akiwa na msaidizi wake kulia, katikati ni meneja wa chama kikuu cha Ushirika wa wakulima Iringa (IFCU) Tumain Lupola baada ya uongozi huo wa Mohammed enterprises kutembelea ofisi za IFCU kwa Mazungumzo. 

Meneja wa Chama kikuu cha Ushirika wa wakulima mkoa wa Iringa (IFCU) Tumain Lupola alisema kuwa Mohammed Enterprises (Ltd) ni wadau muhimu kwa chama chake kwani wamekuwa wakifanya nao kazi za wakulima. 

Alisema kuwa uongozi wa kampuni hiyoumefanya ziara ofisini kwao kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa kilimo. 

Kuwa kampuni hiyo ya Mohammed enterprises imekuwa ikifanya kazi na IFCU upande wa Mbolea kwa kipindi cha miaka miwili sasa. 

"The Manager of the Iringa Region Farmers’ Cooperative Union (IFCU), Tumain Lupola, said that Mohammed Enterprises (Ltd) is a key stakeholder for their union, as they have been working together on farmers’ initiatives.


He mentioned that the company’s leadership visited their office in preparation for the upcoming farming season.


Mohammed Enterprises has been collaborating with IFCU in the area of fertilizer supply for the past two years."


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI