Header Ads Widget

MATUMBO JOTO SAA 78 ROHO JUU WATIANIA CCM

 

Na Matukio Daima Media

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba mpya ya uteuzi wa wagombea na fasi za ubunge, uwakilishi, udiwani wa kata/wadi na viti maalumu, ikionesha kusalia saa 78 kufikia siku ya uteuzi unaofanywa na kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM (CC).

Kikao hicho kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa juzi na chama hicho, kitafanya uteuzi wa mwisho wa watiania wa wabunge na uwakilishi Juma-taru Julai 28. hatua inayoen delea kuwaweka roho juu makada walioomba ridhaa kuwania nafasi hizo.


Jumamosi iliyopita, CCM ili-tangaza mabadiliko ya ratiba ya vikao hivyo, ikitaja sababu kuu ni kujipa muda wa kuto sha kurwachambua kwa uma kini watiania na kuwatendea haki.


Kikao cha Kamati Kuu kili paswa kufanyika Julai 19 mwa ka huu Jumamosi iliyopita) kwa ajili ya kufanya uteuzi wa mwisho wa wagombea, lakini kikasogezwa mbele.

Kwa mujibu wa ratiba mpya iliyotolewa juzi, Jumatatu ijayo, yaani saa 78 zijazo kuan zia saa 6:00 usiku wa kuamkia leo, kutafanyika kikao cha Kamati Kuu kufikiria kuteua majina ya wana CCM wasiozi di watatu walioomba nafasi ya ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi wa jimbo na viti maalum ili wapigiwe iwe kura za maoni.

Jumatano ijayo, kutafanyika mikutano mikuu maalum ya

mikoa ya UWT kupiga kura ya maoni kwa wagombea wa ubunge wa viti maalum bara na wagombea ubunge wa viti maalum (Tanzania Bara) na wagombea ubunge/uwajilishi wa viti maalum (Zanzibar) vya mikoa

Agosti Mosi, utafanyika mkutano mkuu maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa kupiga kura ya maoni kwa wagombea wa ubunge/uwakilishi wa viti malaum vi jana kwa upande wa Tanzania Zanzibar na Tanzar asubuhi na Tanzania Bara

Mkutano Mkuu Maalum wa Wazazi Talfa kupiga kura ya maoni kwa wagombea wa ubunge/ uwakilishi wa viti maalum (Zanzibar na Tanza nia Bara) utafanyika mchana siku hiyo hiyo

Jumamosi ijayo Agosti 2 kutafanyika Mkutano Mkuu Maalum wa UWT Taifa kupiga kura za maoni kwa wag ombea wa ubunge wa viti maalum vya makundi (Tanzania Bara) na ubunge/uwak ilishi viti malaum (Zanzibar). Ratiba hiyo in aonesha Julai 30 mwa ka huu

hadi Agosti 3 mwaka hun koutakan kanwa na mikutano ya

kujitambulisha kwenye kata wadi na jimbo kwa wagom bea wa ubunge, uwakilishi na udiwani (Zanzibar na Tanza nia Bara).

Agosti 4 mwaka huu kata fanyika mikutano mikanı ya kata/wadi na jimbo kupiga kura za maoni za wagom bea na ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udi wani wa kata/wadi (Zanzibar na Tanzania Bara)

Kwa mujibu wa ratiba hiyo, vikao vya uchujaji baada ya maoni, kamati za siasa za kata/wadi kuwajadili wagom bea udiwani na kutoa map endekezo yake kwa kamati ya siasa ya jimbo/wilaya vita-fanyika Agosti 5 mwaka huu.

za Vikao vya kamati utekezaji za UWT wilaya ku wajadili waja wagombea udiwani wa viti maalum na kutoa map-endekezo yake kwa Kamati ya Siasa ya Wilaya vitafanyika Agosti 7 mwaka huu.

Siku inayofuata kuta-fanyika vikao vya kama ti za siasa za wilaya kujadili wagombea ubunge, ujumbe wa baraza la wawak ilishi na udiwani na kutoa mapendekezo yake Kamati za Siasa ya

mikoa kuwajadidi wagombea ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani viti maalum na kutoa mapendek ezo yake kwa Kamati ya Sasa ya Mkoa

Vikao vya Kamati za Siasa za Mikoa vitafanyika Agosti 11 mwaka huu, kujadili wag ombea ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na ku toa mapendekezo yake kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kwa Tanzania Bara na kwa Zan zibar kutoa mapendekeo kwa Kamati Maalum ya Hal mashauri Kuu ya Taifa Zanzi

bar Pia watajadili wagombea udiwani wa kata/wadi na udiwani wa viti maalum na kutoa mapendekezo kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa. Agosti 13, mwaka huu, vikao vya halmashauri kuu CCM za mikoa kufanya uteuzi wa mwisho wa wagombea udiwani kwa kila kata/wadi il yoko mkoa na udiwani wa Viti Maalum.

Siku mbili mbele (Agosti 15) kamati ya utekelezaji ya UWT Taifa kufikiria na kuwajadili wagombea ubunge/wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na makundi Viti Maalum na ku-toa mapendekezo kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuni ya CCM ya Taifa kwa Tanzania Bara na vivyo hivyo mapende kezo ya Zanzibar yatatolewa kwa Halmashauri karu yake ya Taifa

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI