Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Dk Tumaini Msowoya, leo Julai 2, 2025, amerejesha rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Mkoa wa Iringa.
Dk Msowoya amerejesha fomu hiyo katika Ofisi za
Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Iringa, ambapo alipokelewa na Katibu wa
UWT wa mkoa huo, Mary Mwansengo.
0 Comments