Header Ads Widget

MEZA YA MAGAZETI LEO ALHAMISI JUN 5/2025:SAKATA LA MSAJILI NA CHADEMA KUTUA MAHAKAMANI,ASKOFU GWAJIMA YUPO MAFICHONI

 


 

MAHAKAMA ya Rufani nchini,  4 June 2025, imetupilia mbali maombi ya rufani namba 658 ya 2023 yaliofunguliwa na kampuni ya Mwananchi Communication na Mhariri wa Gazeti la The Citizen. 

 Kampuni ya Mwananchi Communication, ilikata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kumlipa fidia ya sh bilioni 2.5 Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu kwa kuandika habari iliyomchafua.


 Katika habari hiyo iliyochapishwa na Gazeti la The Citizen tarehe 23 Machi mwaka 2018, iliripoti kuwa Mchechu wakati huo akiwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ni fisadi na alitumbuliwa na Rais John Magufuli, jambo ambalo sio kweli Rufaa hiyo ilipitiwa na majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa ambao ni Jaji Rehema Kerefu, Jaji Omar Othman Makungu na Jaji Dk. Benhajj Masoud. 

 Katika uamuzi wake jana chini ya jopo la Majaji watatu, Mahakama ya Rufaa imekubaliana na uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi namba 48 ya 2021 kwamba habari hiyo ilikuwa ya uongo na imechafua hadhi na heshima ya Mchechu ndani na nje ya nchi, hivyo tozo iliyotolewa ni sahihi. Katika uamuzi wake, Mahakama ya Rufani iilipitia hoja tatu za msingi. 

 Hoja ya kwanza ni je, Mahakama Kuu ilikuwa na uwezo kusikiliza shauli hili, pili mdai (Mchechu), aliweza kuthibitisha madai yake ya kudhalilishwa na hoja ya tatu ni kama Mahakama Kuu ilitumia utaratibu sahihi kutoa nafuu kwa walalamikiwa Kwa mujibu wa uamuzi huo, jopo hilo la majaji walikubaliana na hoja za wakili wa utetezi, Aliko Harry Mwamanenge kwamba Mahakama Kuu ilikuwa na uwezo wa kusikiliza kesi hiyo na kwamba mjibu rufani alifanikiwa kuthibitisha madai yake. 

 Jopo hilo la majaji pia wamekubali kwamba Mahakama Kuu ilitumia utaratibu sahihi kufikia tuzo ambayo ilitoa. 

 Hivyo, Mahakama ya Rufani haikuona sababu ya kubatilisha au kubadilisha chochote kwenye maamuzi ya Mahakama Kuu na kuyabariki maamuzi hayo kama yalivyo. 

 Awali, Mahakama Kuu iliamuru Gazeti la The Citizen kumlipa Mchechu sh bilioni 2.5 kwa kuandika habari iliyomchafulia jina lake.

 Katika adhabu hiyo, sh bilioni 2 ni kwa ajili ya kumlipa fidia kwa kuchafulia jina alilolijenga kwa muda mrefu na kumshushia heshima na sh milioni 500 kwa ajili ya kumsababishia hasara ya jumla.

 Mbali ya kiasi hicho cha fedha, Gazeti la The Citizen limeamuriwa kulipa gharama zote za uendeshaji wa kesi kuandika habari ya kumwomba radhi katika ukurasa wake wa mbele kwa ukubwa ule ule na italipa fidia asilimi 12 kila mwaka endapo litashindwa kulipa fedha hizo kwa wakati kuanzia jana.

 Katika hukumu hiyo, Mahakama Kuu pia imelionya Gazeti hilo kutomwandika tena Mchechu habari ya uongo na yenye kumchafulia jina kiasi hicho isipokuwa pale tu kunapokuwa na ukweli na ushahidi wa kutosha Hukumu hiyo imetokana na kesi iliyofunguliwa na Mcheche dhidi ya Gazeti la The Citizen, akiiomba mahakama iliamuru Gazeti hilo limlipe fidia ya Sh bilioni tatu in na kumwomba radhi, kwa madai ya kumchafulia jina na kushusha hadhi na heshima yake katika jamii. 

SIMULIZI ,⬇️⬇️

Hivi ndivyo wezi walivyokula nyasi baada ya kutekeleza wizi wao 

Visa vya wizi wa pikipiki na bidhaa nyingine ningi vimekuwa vikitokea katika eneo la Msambweni na Mombasa kwa jumla, jambo ambalo limetupa sisi wenyeji wasiwasi kwa kiasi kikubwa kwa kuwa kila wakati tuko na hofu ya kuvamiwa na kuibiwa mali zetu.

Visa hivi huripotiwa kwa vituo mbalimbali vya Polisi, lakini hakuna lolote limefanyika kufikia sasa wengi wa Polisi kwenye vituo hivyo hutoa ahadi mingi za kuweza kuwanasa washukiwa wa wizi na kuwafikisha kortini kuweza kushtakiwa, lakini ahadi hizo zimekwisha kuambulia patupu nyakati zote.

Walalamishi wameachwa mikono tupu wengi wao wakikumbwa na madeni makubwa kutoka kwa baadhi za benki ambazo walichukua mkopo kuweza kununua bidhaa hizo kwa ajili ya kibiashara. 

Ni maajuzi tu ambapo moja wa rafiki yangu alivamia na genge la majambazi ambalo lilikua limejihami kwa bunduki na kuweza kumpokonywa pikipkiki yake, aliweza kuripoti kisa hicho kwenye kituo cha Polisi cha Msambweni lakini kufikia sasa, pikipiki hiyo haijaweza kupatikan wala kuonekana maeneo yoyote. 

Vitendo hivi vya wizi, hutokea nyakati za jioni ambapo wezi hao huja kujifanya wateja na kuweza kuhitaji kusafirisha maeneo mbalimbali, wanapofika njiani hukuvamia na wenzake kutokea na kukupokonya pikipiki yako. 


Ilikuwa siku ya Jumamosi wiki moja iliyopita, nilitoka wenda kwa shughuli zangu za kila siku za kuwasafirisha wasafiri toka katika eneo moja hadi lingine, ilipofika nyakati za saa sita mchana, niliamua kuenda kupumzika kwenye staji yetu, baada ya dakika 30 hivi, mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu aliwasili na kuniarifu kuwa alitaka kusafirishawa, kijijini Mpeketoni alikiri kwamba ni kilomita chache kufika eneo lake, na pia nisiwe na tashwishi kwani alipokua akielekea kulikua na usalama wa kutosha.

Niliweza kukubali kumsafirisha kwani ilikua kazi inayonipa hela, tukaanza safari, baada ya kilomita chache, mwanamke huyo alionekana kuwa na mengi ya kunena, kwani alikua anapigiwa simu muda kwa muda. 

Alichozungumza na aliyezungumza naye sikuweza kupata kumjua kwani alizungumza kwa lugha niliyokua naifahamu, baada ya kilomita chache, mwanamke huyo alidai kua alikua anahisi kuenda haja ndogo na hivyo aliweza kusimisaha pikipiki na kumngoja amalize shughuli zake za kujisaidia.

Ghafla wanaume wawiwi waliweza jitokeza wakiwa wamejihami kwa vifaa butu na kuningiza niweze kuwapa fungyo za pikipiki hiyo kwa lazima, baadaye nilijipata hospitalini, nikiwa na jeraha kichwani, sikuweza kujua kilichofanyika, kwani madaktari waliniharifu kua niliweza kuletwa hospitalini na msamaria mwema nikiwa nimeipoteza fahamu, Nilipojihisi kupona hapo ndipo niligundua yakuwa nilikua nimeibiwa pikipiki.

Nilimwarifu rafiki yangu kuhusu tukio hilo, hapo ndipo aliweza kuniarifu kuhusu  Kiwanga Doctors na uwezo wake wa kuweza kupata bidhaa zilizopotea, siku ilifuatia nilikutana naye ana kwa ana na kuweza kumuambia kila kitu kilichotokea, aliniarifu ningeweza kuipata baada ya  siku moja tu.


Siku moja baadaye wezi wawili walianza kula nyasi wakiwa wameegeza pikipiki kando ya barabara, nilipoenda eneo hilo nilipata pikipiki yangu ikiwa shwari, wezi hao walikamatwa baaadaye na kupelekwa kituo cha Polisi. 

Shukrani Kiwanga Doctors kwa kunisaidai kuipata pikipiki yangu iliyokua imeibwa. 

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba  +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI