Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, Juni 19, 2025 limemfikisha Mahakamani Yanick Mbombo Mchungaji wa kanisa la Ebenezer Restoration Ministry For All Nations tawi la Iringa na wenzake wanne ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya Utakatishaji fedha na Kuongoza genge la uhalifu.
Kesi hiyo namba ECO.14959 ya Mwaka 2025 imeahirishwa hadi tarehe 03.07.2025 na watuhumiwa wote wamerudishwa gerezani kutokana na makosa hayo kutokuwa na dhamana ambapo upelelezi bado unaendelea.
TAZAMA FULL VIDEO BOFYA LINK HII
TAZAMA TAARIFA YA HABARI LEO BOFYA LINK HII
0 Comments