Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Serukamba Rasmi amechukua fomu kutia nia ubunge Kigoma Kaskazin.
Serukamba ambae alikuwa mkuu wa mkoa wa Iringa kabla ya kuandika barua kwa mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuomba kwenda kugombea ubunge na kuruhusiwa.
Serukamba alishawahi kuwa mbunge katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amekuwa mkuu wa mkoa katika mkoa wa Singida na mwisho mkoa wa Iringa.
0 Comments