"Sisi Wafanyakazi wa Master dinner tumejiandikisha Tayari kwenye Daftari la kudumu la mpiga kura.
Ndugu zetu watanzania , jamaa na marafiki nendeni mkajiandikishe,hata kama ulipoteza,kuvunjika,au huna kabisa utakipata, kitsmbulisho chako Cha kupigia kura Uchaguzi wa diwani ,mbunge na Rais 2025,
Nenda kwenye kituo kilichotengwa katika eneo lako kwa ajili kujiandikisha"
UJANJA NI KUWA NA KADI YA MPIGA KURA
0 Comments