Header Ads Widget

UJENZI WA JENGO LA MAFUNZO CHUO CHA WANYAMAPORI MWEKA WAKAMILIKA.



NA WILLIUM PAUL, MOSHI. 


MRADI wa Ujenzi wa ofisi mpya ya jengo la utawala chuo cha wanyamapori Mweka  kata ya Kibosho Mashariki umekamilika kwa asilimia 100.



Kiasi cha Tsh. BIlioni 3.8 zimetumika kukamilisha mradi wa  majengo hayo.



Wanaishukuru Serikali kwa kufadhili mradi huo pamoja na Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi na Diwani wa Kata ya Kibosho Mashariki Christopher Ndakidemi kwa kupigania mradi huo wa kielelezo kwa kata.


Mwishi.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI