Header Ads Widget

MAANDALIZI YA KUAGA MWILI WA HAYATI CLEOPA DAVID MSUYA YAENDELEA MWANGA


Maandalizi ya kuaga mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Cleopa David Msuya, yakiendelea katika Uwanja wa Cleopa David Msuya, wilayani Mwanga, Mkoa Kilimanjaro, leo Mei 11, 2025.



 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI