Na Matukio Daima App.
IRINGA.Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Joseph Yustino Mhulila (28) dereva bodaboda mkazi wa Mtaa wa Lukosi Mtwivila kata ya Mkwawa Manispaa ya Iringa kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Timotheo Mhulila (06) mwanafunzi wa darasa la awali kwa kumkatakata vipande Kisha kuvitupa chooni viungo vya mtoto huyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Allan Bukumbi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mnamo tarehe 12 april 2025 mtu aitwaye joseph Muhulila alitoa taarifa katika kituo cha polisi na kueleza kuwa mtoto wake amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kamanda Bukumbi alieleza kuwa baada ya kupokea taarifa hiyo kituo cha polisi ilitia mashaka kwa sababu muda wa mtuhumiwa kutoa taarifa na namna tukio lilivyotokea haviendani hivyo waliendelea kumshikilia kwa mahojiano na kufatilia kwa undani.
Alisema kuwa "ilipofika tarehe 6 April timu ya makachero walikuwa wamepata taarifa fiche kuhusiana na huyo mtoto lakini baada ya kumuhoji mtuhumiwa alieleza kwamba mnamo tarehe 28 March 2025 alimchukua mtoto huyo kutoka kwa mama yake kwa lengo la kuja kumsalimia"
Bukumbi alieleza kuwa baba huyo pamoja na mtoto walikuwa hawaishi pamoja walikuwa wametengana na mzazi mwenzie ambapo mama alikuwa anaishi na mtoto na baba alikuwa anaishi mwenyewe.
Anasema kuwa ilipofika April 11, mtuhumiwa alimuacha mtoto nyumbani kwake na kwenda kulala nyumbani kwa mama wa mtoto huyo ambaye ni mzazi mwenzie na hawaishi pamoja.
"Mtuhumiwa alidai kuwa alirudi nyumbani kwake April 12 asubuhi na aligundua mtoto wake ambaye kwa sasa ni marehemu alipigwa na shoti ya umeme akiwa ndani ya nyumba na kufariki dunia na hayo ndio maelezo aliyoyatoa baada ya kuwa amehojiwa"alisema Bukumbi
Na kueleza kuwa mtuhumiwa alipata hofu kutoa taarifa kuwa mtoto amepigwa na shoti ya umeme kwamba ingekuwa tatizo kwake hivyo kuamua kumkatakata vipande vipande vidogo na kuvindumbukiza chooni na kuflashi kwenda kwenye shimo la choo.
"Baada ya kukagua eneo la tukio tumegundua kweli mtoto huyo alikatwa vipande vipande na baba yake ambaye amekiri kufanya tukio hilo yeye mwenyewe na kwamba baada ya kutenda tukio hilo alitoa taarifa ya uongo kituo cha polisi kwamba mtoto huyo amepotea"
Hata hivyo, Jeshi la Polisi Iringa limesema linaendelea na uchunguzi zaidi kuhusiana na tukio hilo, ili kubaini nyama hizo zilizopatikana kama ni za mwili wa mtoto huyo na baada ya uchunguzi mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kwa ajili ya kujibu tuhuma za mauaji zinazomkabili
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa viongozi wa serikali ya mtaa, tukio hilo linadaiwa kutokea takribani wiki tatu zilizopita katika mtaa wa Lukosi, Kata ya Mkwawa, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, na kugundulika rasmi mapema leo baada ya uchunguzi kufanyika kufuatia taarifa ya kupotea kwa mtoto huyo.
Mwenyekiti wa mtaa wa Lukosi, Kennedy Mahana, amesema kuwa mtuhumiwa alikuwa akiishi na mtoto huyo baada ya kumchukua kutoka kwa mama yake mzazi.
Mwenyekiti huyo ameongeza kuwa, wiki mbili baadaye, aliripoti kwa ofisi za mtaa kuwa mtoto huyo ametoweka, jambo lililoibua taharuki na kupelekea kuanzishwa kwa uchunguzi wa kina.
MWISHO.
SIMULIZI CHINI ⬇️⬇️⬇️
Aachiwa huru baada ya kufungwa miaka 15 kwa uongo
David alikuwa na biashara iliyofanikiwa pamoa na mke mwenye upendo, lakini maisha yake yalibadilika aliposhtakiwa kwa tuhuma za kumbaka msichana wa miaka 13 kisha kutupwa jela.
Alihukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani ambapo alipatwa na mambo ya kutisha yasiyofikirika lakini hakukata tamaa, kwa sababu alijua kwamba hakuwa na hatia kuhusu tuhuma hizo.
Msichana aliyemshtaki alikuwa mmoja wa watoto 10 aliokuwa akiwafadhili kimasomo, Mama yake, Leah alikuwa mpenzi wake wa zamani ambaye aliachana naye miaka ya nyuma alipokuwa akihangaika kutafuta fedha.
Leah alikuwa ameolewa na mfanyabiashara tajiri wa dawa za kulevya ambaye baadaye alikamatwa na kufungwa, hivyo kumuacha peke yake na mtoto huyo wakisota katika umasikini.
Kwa hiyo Leah alikuwa na wivu juu ya mafanikio ya David na alitaka arudi kwake, lakini tayari David alikuwa ameoa mwanamke kutoka Maragoli aliyeitwa Salome Adagala.
Kutokana na hilo, Jackline aliamua kulipiza kisasi kwa kupanga njama za uongo kuwa amembaka binti yake.
Wiki moja kabla ya kufunguliwa kwa shule, Zakayo aliwaalika watoto 10 ofisini kwake ili kuwapa karo ya shule, fedha za kujikimu na neno la kuwatia moyo.
Sasa msichana kama alivyoagizwa na mama yake Leah, alibaki nyuma na kujifanya kutafuta ushauri zaidi kutoka kwa Zakayo, kisha akamsogelea kupita kawaida, na punde tu akapiga kelele akidai kwamba alikuwa amemshambulia kingono.
David alishtuka na kuchanganyikiwa, alijaribu kueleza kwamba hakuwa na kosa lolote, lakini alikuwa amechelewa, Polisi walifika na kumkamata.
Alipelekwa mahakamani ambako alikabiliana na hakimu mwenye upendeleo ambaye aliamini ushahidi wa msichana huyo, hivyo kumuhukumiwa kifungo cha miaka 17 jela.
Mke wake, Salome alihuzunika sana lakini aliamini kwamba hakuwa na hatia, alisimama karibu naye na kumuombea kila siku. Alimtembelea gerezani kila alipoweza, na kumletea chakula. Pia aliajiri mawakili kukata rufaa dhidi ya kesi yake, lakini hawakufanikiwa.
David alivumilia kifungo cha miaka tisa jela. Alipigwa, alinyanyaswa na kudhalilishwa na walinzi na wafungwa lakini hakupoteza imani kamwe. Aliamini kuwa siku moja ukweli ungedhihirika.
Maombi yake yalijibiwa kwa njia ya kimuujiza kwani mkewe Salome alifika kwa Kiwanga Doctors, kundi cha waganga wa mitishamba ambao wana uchawi mkali wa kuwaachilia wafungwa. Walidai kuwa wanaweza kumsaidia yeyote aliyefungwa kimakosa ili atoke gerezani.
Walimwambia kwamba wangeweza kumsaidia, lakini alipaswa kufuata maelekezo yao kwa makini. Walimuomba awatumie maelezo fulani kuhusu mumewe, msichana yule na mama yake. Kisha wakamwambia angoje kwa siku mbili na kuona nini kitatokea.
Salome alifanya kama walivyomwambia na kusubiri, punde tu alishangazwa na kile kilichofuata, alipokea simu kutoka kwa msichana yule ambaye alikuwa na umri wa miaka 21 wakati huo.
Alikuwa akilia bila kujizuia na liomba msamaha na kukiri kwamba alidanganya kuhusu ubakaji, alisema kuwa mama yake alimlazimisha kufanya hivyo.
Kutokana na kusumbuliwa na jinamizi na sauti ya ajabu ikiwaambia waungame dhambi hiyo, alisema walikuwa na uchungu na walitaka kumaliza jambo hilo.
Salome alishtuka na kufarijika, alimwomba msichana huyo kurudia na kukiri hilo mbele ya mahakama, msichana alikubali na kufanya hivyo. Waliwasiliana na David na kuomba msamaha, walisema kwamba wanajuta kwa kuharibu maisha yake.
Serikali ilifanya uchunguzi wa jambo hilo, na waligundua kwamba David hakuwa na hatia na kwamba alikuwa mwathirika wa njama ovu. Waliamuru aachiliwe mara moja na kulisafisha jina lake, ingawa ilichukua karibu mwaka mmoja, lakini hatimaye David alitoka gerezani.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments