Header Ads Widget

MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA NYASA NA MWENYEKITI CHADEMA MKOA WA IRINGA WAFANYA ZIARA NCHINI MAREKANI

Mwenyekiti wa CHADEMA  Kanda ya Nyasa Mhe.Joseph Mbilinyi (SUGU) akiongozana na mjumbe wa kamati tendaji ya  Kanda ya Nyasa na Mwenyekti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa Mhe.William Mungai alikutana na maafisa waandamizi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani ambapo walizungumzia agenda kuu ya CHADEMA Taifa yaani "No reforms no Election"


Pamoja na mambo mengine, Mwenyekiti na ujumbe wake aliisihi serikali ya MAREKANI kuwaunga mkono.


Maafisa wa Wizara walipokea ujumbe huo na kuahidi kutoa ushirikiano.


Mwenyekiti na ujumbe wake pamoja na maswala yao binasi, wanaendelea na ziara nchini Marekani katika kukisogeza chama kwenye unga wa Kimataifa.


Imetolewa na

Idara ya habari na mawasiliano  kanda ya Nyasa.

01.03.2025

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI