Habari zilizotufikia Matukio Daima media muda huu zinaeleza kuwa wabunge zaidi ya 50 waliokuwa wakisafiri kwa basi kutoka Dodoma kwenda Nchini Kenya kushiriki michezo wamepata ajali eneo la Mbande mkoani Dodoma.
Wabunge kadhaa wamepata majeraha ya Mwili kutokana na ajali hiyo .
Imeelezwa kuwa basi hilo la Bunge likiwa katika mwendo wa kawaida lilikutana na changamoto ya gari jingine lililokuwa limeangusha mizigo barabarani na wakati dereva akijaribu kukwepa mizigo hiyo ndipo basi hilo lilipoacha njia na kuingia Porini.
Mashuhuda wa ajali hiyo wameiambia Matukio Daima media kuwa miongoni mwa wabunge waliojeruhiwa ni pamoja na mbunge wa Kalenga Jackson Kiswaga ,Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu,mbunge wa Viti maalum chadema Grace Tendega
Shuhuda huyo alisema basi lililopata ajali ni moja kati ya mabasi manne ya Shabiby yaliyokuwa yanawasafisha kwenda kwenye mashindano ya mabunge ya Afrika Mashariki Mombasa Kenya, amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo alfajiri baada ya basi moja kudaiwa kugonga nyuma ya lori lililokuwa limesimama katika Barabara hiyo ya Morogoro - Dodoma.
"Tunashukuru Mungu wenzetu wamenusurika basi moja kati ya manne tuliyokuwa tunasafiria limepata ajali na baadhi ya wenzetu wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali za Uhuru na Benjamini Mkapa kwa ajili ya matibabu, hatujui hadi sasa wenzetu wanaendeleaje, nasi bado tupo eneo la ajali," amesema Mbunge huyo ambae hakutaka jina lake kuandikwa kwa kuwa si Msemaji wa bunge
Msafara huo ambao ulitakiwa kupitia Chalinze na Tanga kwenda Mombasa, umejumuisha wabunge na watumishi wa Bunge zaidi ya 120 wanaokwenda kushiriki michezo mbalimbali inayotarajia kuanza kesho Desemba 7 hadi Desemba 17 mwaka huu na kushirikisha timu za mabunge ya Nchi 7 likiwemo Bunge la Afrika Mashariki.
Matukio Daima media tunaedelea kumtafuta Msemaji wa bunge ili kupata undani wa tukio hili tutawajuza zaidi pamoja na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna wa Polisi, DCP, David Misime
TAARIFA YA BUNGE
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma
Bosi wangu anang'ang'ania kuzaa mtoto na mke wangu!
Ama kwa hakika ukistaajabu ya Musa utayaoana ya Firauni, ndivyo waswahili wa hapo kale walipata kusema, ni msemo ambao hadi sasa unaishi katika maisha ya watu na jamii kwa ujumla.
Mimi ni mume na baba watoto wanne, jina langu ni Ally, nimeamua kuandika ujumbe huu baada ya Bosi wangu kuleta mambo ya ajabu sana, nayo ni kung'ang'ania kuzaa mtoto na mke wangu wa ndoa. Ajabu!.
Hili ni suala ambalo lilighubikwa na usiri mzito ajabu, ila kwa uwezo wa Dr Bokko ndipo nilipobaini mbinu hiyo chafu ya Bosi wangu, nakumbuka nafiki yangu mmoja alinipa namba ya mtaalamu huyo +255618536050, na kuniambia anaweza kumfunga mke wangu asiweze kutoka nje ya ndoa.
Nilifika ofisini kwake, Dr Bokko alinipatia dawa na kuanza kuzitumia, niliendelea na shughuli zangu, wakati huo Bosi wangu alikuwa kila mara ananipa safari nyingi za kikazi ili apate muda wa kuendelea kumshawishi mke wangu.
Hata hivyo, mke wangu hakujua kama nimemfunga, wala Bosi wangu hakujua hilo, hivyo nilipokuwa napata safari za kikazi nilikuwa na amani tele na furaha zaidi hasa kutokana na kuongezeka ka fedha ambayo nilikuwa napatiwa kama posho ya kujikimu na safari.
Baada ya muda wa miezi kadhaa mke wangu aliniita chumbani na kuniambia Bosi wangu alikuwa akimtongoza na kumwambia anataka kuzaa naye kutokana anaona watoto wetu ni wazuri.
Mke wangu aliniambia kwa muda mrefu alifanya jambo hilo kuwa siri lakini anaona kadiri anavyofanya siri moyo wake unakosa amani kabisa.
Alilia sana na kuniomba msamaha kwa kutunza siri hiyo ya ajabu ambayo ingeweza kumfanya akazaa nje ya ndoa yetu ambayo imedumu kwa miaka nane sasa.
Hadi kufika hapo nikajua kabisa dawa ya Dr Bokko kweli inafanya kazi yake ipasavyo. Kilichokuja kunishangaza ni yule Bosi wangu alikuja kufukuzwa kazi katika mazingira ambayo sikuwahi kuyaelewa hadi sasa na hapo ndoa yangu ikazidi kuwa na usalama zaidi.
Mwisho.
0 Comments