Header Ads Widget

TFS YATOA MAFUNZO YA KUBORESHA MFUMO WA MENEJIMENTI YA UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA

 


Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imetoa mafunzo ya kuboresha mfumo wa Menejimenti ya utunzaji wa kumbukumbu na Nyaraka kwa watumishi wa Kanda ya Mashariki.



Mafunzo hayo ya siku tatu yameshirikisha watumishi 23 kutoka mikoa ya Pwani, Dar es Salaam na Morogoro ambayo inaunda Kanda ya Mashariki.

Akizungumza kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi Tanzania      Prof. Dos Santos Silayo,  Kaimu Kamanda wa Kanda ya Mashariki PCO Mathew Ntilicha amewataka washiriki wa mafunzo hayo kutumia vizuri mafunzo watakayo yapata kwa kuongeza ufanisi wa kazi watakaporudi kwenye vituo vyao vya kazi.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI