Header Ads Widget

WAANDISHI WAZUIWA KUSIKILIZA KESI YA ALIYEKUWA RC SIMIYU

Na Matukio Daima App 

KESI ya jinai inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda, jana ime anza kupokea na kusikiliza mashahidi katika Ma hakama ya Hakimu Mfawidhi Mkoa wa Mwanza. Hata hivyo, waandishi wa habari na wananchi hawakutakiwa kuingia mabakamani kusikiliza shauri hilo.



Kwa mujibu wa Sheria za Mwenendo wa Makosa ya Jinal namba 20 kifungu namba 186, shauri hilo lilitakiwa kuwa wazi. 


Awali, shauri hilo lilitakiwa kusikilizwa ka tika ukumbi mkubwa wa Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Mkoa, lakini bila taarifa yoyote,

washtakiwa walipelekwa katika chemba yah akimu huyo na kuanza kusikilizwa kuanzia ma

jira ya saa tatu asubuhi Baada ya waandishi pamoja na wananchi wali ofika mahakamani hapo kusikiliza shauri hilo kusubiri bila mafanikio, walidadisi kwa baadhi ya wahudumu wa mahakama hiyo ambaye ali wajibu kuwa tayari shauri hilo linaendelea ndani ya chemba

Baada ya jibu hilo, waandishi walielekea katika mlango wa chemba hiyo, hata hivyo ilikuwa ka ribu na kipindi cha mapumziko cha dakika 35 III warejee kusikiliza mashahidi.

Hakimu Mfawidhi Mkuu wa Mahakama hiyo, Erick Marley, alimtuma mmoja wa wasaidizi wake karwaeleza waandishi kuwa hawatoruhusi wa kuingia katika chemba hiyo mpaka itakapo- toka idhini ya mshtakiwa pamoja na shahidi kuruhusu kuwapo kwa waandishi pamoja na wasikilizaji wengine.

Kutokana na hali hiyo, waandishi wa habari walimfuata Msajili katika kituo hicho jumuishi ili kujua chanzo cha shauri hilo kuhamishwa ukumbi bila taarifa na wao kutoruhusiwa ku wapo wala wasikilizaji

Msajili aliwasiliana na Hakimu Mfawidhi Mkuu, Erick Marley na kumtaka kuongea na waandishi kuhusu maswali yao na hakimu ali kubali na kuwaita katika chemba yake na ku waeleza kirwa hatua hiyo ni takwa la kisheria na haki ya mtoa ushahidi katika makosa ya namnahiyo

Alipohojiwa kuhusu kifungu cha sheria kina- chosimamia takwa hilo, Hakimu Marley alisema ni Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai nam- ba 20 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2022 Kifungu namba 186(3). takwa hilo mahakama itawahoji na

"Kufuatia kupata ridhaa yao baada ya mapumziko, na en dapo wakikubali tutawaita waandishi na wale wanaohitaji kusikiliza shauri hili, lakini wasipori dhia hamtoruhusiwa." Majira ya saa 11:23 washtakiwa pamoja na

mashahidi walirejea katika chemba hiyo na waandishi waliendelea kukaa nje kwa muda bila kupata mrejesho hali iliyothibitisha walengwa kutokukubali kusikiliza shauri hilo.

KIFUNGU NAMBA 186(a).

Kwa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai namba 20 iliyorejelewa mwaka 2022

habari Lakini kifungu hiki hakitapiga marufuku uchapishaji au usambazaji wa jambo lolote kama hilo kwa uaminifu mfululizo wa ri poti za kisheria au katika gazeti au majarida kwa nia njema inayokusudiwa kusambazwa miongoni mwa wanachama wataaluma wa sheria au matibabu."

Hakimu Mfawidhi Mkuu Marley aliahirisha shauri hilo na mashahidi hao walisikili

kifungu hicho namba 186 (3) kinasema, "Bila ya kujali masharti ya sheria nyingine yoyote, ushahidi wa watu wote katika kesi zote zinazohusu makosa ya kingono yat apokewa na mahakama kwa kamera (iki maanisha bila kurekodiwa), ushahidi na mashahidi wanaohusika katika makosa ya kesi za namna hii haitachapishwa na au katika gazeti lolote au vyombo vingine vya

zwa kwa zaidi ya saa tatu na musu Hakimu Marley alisema kesi hiyo itaanza kusikilizwa mfululizo katika mahakama hiyo Agosti 13. 14 na 15. na kwamba Jamhuri ina mashahidi 15 na vielelezo 18, jana alisik lizwa mama wa binti anayedaiwa kuingiliwa kinyume na maumbile na binti mwenyewe.

#Chanzo Nipashe Julai 17/2024

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI