Header Ads Widget

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

 






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezungùmza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa.  Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole yamefanyika Revolutionary Square, Havana, Agosti 13, 2024.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI