Header Ads Widget

AJALI:MABEHEWA MATANO YA TRENI YA MIZIGO YAANGUKA

 








Mabehewa matano ya treni ya mizigo iliyokuwa inasafirisha Ngano kupitia reli ya kati kutoka Dar kwenda mikoa ya Bara yameanguka katika eneo la Bigwa Minispaa ya Morogoro jana jioni majira ya saa 12

Kwa mujibu wa Stesheni Masta msaidizi Godfrey Temba Mabehewa hayo matano ni kati ya 20 yaliyokuwa yanasafirisha Ngano hiyo ambapo cha ajali bado hakijajulikana huku kukikwa hakuna madhara kwa binadamu

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI