Header Ads Widget

BREAKING:MCH PETER MSIGWA AHAMA CHADEMA AJIUNGA CCM


Mch Peter Msigwa akiwa na viongozi wa CCM baada ya kuhama Chadema na kujiunga rasmi CCM kutoka kulia spika Dkt Tulia ,MNEC Salim Abri Asas,Daud Yassin mwenyekiti CCM mkoa wa Iringa na spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar ,Msigwa amejiunga CCM Leo Juni 30/2024

 TAZAMA FULL VIDEO BOFYA LINK HII


NYALUSI:KUONDOKA MSIGWA CHADEMA NI PIGO KUBWA KWETU WANACHAMA. 
Na Esta  Malibiche Uhuru Media 
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini Frank Nyalusi amekiri kuondoka kwa Peter Msigwa Chadema ni pigo kubwa  ndani ya Chama hicko, kuliko alivyoondoka Waziri mkuu mstaafu hayati Edward Lowasa  pamoja na waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye. 

Nyalusi ameyaeleza hayo leo wakati akihojiwa na Matukio Daima Tv Mara baada ya NEC kumpokea Mchungaji Peter Msigwa. 

"Msigwa alikuwa kwenye namba nzuri siwezi kukataa,mimi kama Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa mjini nitakaa kuangalia namba nyingine, amesema Nyalusi kwa masikitiko makubwa.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI