Header Ads Widget

WAZIRI BASHUNGWA NA MKUU WA WILAYA WAPANDA BOTI KUWAFIKIA WANANCHI LINDI


Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo pamoja na Wataalam wengine wakiwa ndani ya Boti katika Bahari ya Hindi wakiwa safarini kutoka Kata ya Somanga kuelekea Mji mdogo wa Kivinje na Kilwa Masoko.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo pamoja na Wataalam wengine Mei 5, 2024 wamepanda Boti katika Bahari ya Hindi kutoka Kata ya Somanga kuelekea Mji mdogo wa Kivinje na Kilwa Masoko kupitia baharini kwa kutumia saa tatu ili kuangalia hali Miundombinu na kuwafikia Wananchi kutokana na mawasiliano ya Barabara ya Lindi – Dar- es Salaam kukatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizoambatana na kimbunga Hidaya.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS